Monday, June 20, 2011

CHUO CHA BUNDA

Na wasalimu nyote katika Jina la Yesu Kristo,

Chuo cha Biblia Bunda, kinamilikiwa na Kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Mara. Chuo hiki kimeanzishwa rasmi mwezi august 2011 kwa ajili ya kuwafunza wachungaji na walei watakao kwenda kutumika katika makanisa yao na kutimiza agizo la Yesu Kristo "kawafanye wawe wanafunzi wangu"

Kusudi la blog hii ni kupashana habari za chuo hiki na kufundishana kwa njia ya vipeperushi vya injili. 

Ni ombi letu kwamba, utashiriki kutoa maoni yenye kulifaa kanisa na ufalme wa Mungu hapa na hata baadaye mbinguni.

Ubarikiwe sana

Mimi 

Mch. David Jasson
Kaimu Mkuu wa chuo.

No comments:

Post a Comment