MASWALI YA SEMINA
BT 205 MWANZO 1-11
1. Mwanzo sura ya 1 aya 3 hadi 4 inaonyesha uwepo wa mwanga, linganisha na Mwanzo sura ya 1 aya ya 14-15. nini utofauti kati ya mianga hiyo. Taali katika biblia kujenga hoja.
2. Mungu aliumba kwa kutenganisha, ni maeneo yapi ambayo Mungu alitenga ili kuumba, na ni kwa nini.
3. Kwa nini Mungu alianza kuumba viumbe wengine kabla ya siku ya sita? Jadili ikionyesha mifano
4. Shida ya mahusiano tangu kiwango cha familia, jamii na mataifa, husababishwa zaidi na kutoridhika. Je, Mwanzo 4.1-15 itaoa mweleo gani katika hili?
5. “Muumbaji ni Mungu” Jadii
6. Kunatofauti gani kati ya uumbaji sura ya kwanza na sura ya Pili. Jadili ukitoa mifano hai.
7. Ndoa ni tatizo katika kanisa leo, Je nini maoni yako juu ya kusudi na mpango wa Mungu katika familia.
8. Eleza halisia wa anguko. Jadili kiini cha dhambi na mwendelezo wa laana katika ulimwengu wa leo.
9. Kuna mahusiano gani kati ya Yesu na uzao wa mwanamke?
10. “Mungu ni wa rehema”. Jadili rehema ya Mungu kwa kutumia Mwanzo 3-8
MAKUNDI YA SEMINA
| SWALI | WAHUSIKA | JUMA LA |
| 1 | 1. DANIE OPUDO 2. ……………………………………………… 3. ……………………………………………… | 2 |
| 2 | 1. FEDSON HOSEA 2. …………………………………………. 3. …………………………………………. | 2 |
| 3 | 1. OPUDO DANIEL 2. ………………………………………………. 3. ……………………………………………….. | 3 |
| 4 | 1. GASPAR STEPHEN 2. ………………………………………………… 3. ……………………………………………….. | 3 |
| 5 |
| 4 |
| 6 | 1. NGEREJA JOAKIM 2. ………………………………………………. 3. ………………………………………………. | 4 |
| 7 | 1. BUKWIMBA MARKO 2. ………………………………………………. 3. ………………………………………………. | 5 |
| 8 | 1. KALIKI YOHANA 2. ………………………………………………. 3. ……………………………………………… | 5 |
| 9 | 1. LABAN CELESTINE 2. ……………………………………………….. 3. ……………………………………………….. | 6 |
| 10 | 1. NGUTI SAMWEL 2. ……………………………………………….. 3. ………………………………………………. | 6 |
No comments:
Post a Comment